Tuesday, March 10, 2009

UJINGA WATAFSIRIWA

Na. Alhaj Yusuf Mtingwa Kalala

Ujinga = kutokujua kitu.

Sote tu-wajinga katika tusiyoyajua.
Nayo yapo mengi tu.

"Mjinga kwenda, mwerevu kurudi."

Ujinga hauepukiki hata kwa usomi gani.

Kwa maneno mengine, elimu ni bahari, kila mtu hawezi kujua kila kitu. Kwa usichokijua, u-kijinga nacho.

No comments:

Post a Comment