Wednesday, March 25, 2009

TAARIFA KWA UMMA WASIUHOFIE MOSHI WA SENEMA !

Hii ni taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Washington DC kututaarifu wakazi tusijehofia moshi utakaoonekana katika mto wa Potomac katika utengenezaji wa Filamu. Yote hii ni kuondoa hofu kwa wapita njia wakati huo.

Mamlaka hii inajali sana uhai na maisha ya watu wa mji huu kwa sababu kila kutokeapo jambo kidogo hupewa taarifa (kama hii).

A film production special effects scene will take place March 25 between 9:30 a.m. and 12 p.m. on the Potomac River. It will last only two seconds and will involve a brief flash and plume of smoke.

Sent by DC HSEMA to e-mail....powered by Cooper Notification RSAN
---
- You received this alert because you registered for AlertDC.
- Go to https://textalert.ema.dc.gov/mygroups.php to change subscriptions.
- Go to https://textalert.ema.dc.gov/sendpassword.php to reset password.
- Reply STOP to end all alerts & messages.

- Tell a friend about Alert DC! Text "DC" to 411911, or sign-up at https://textalert.ema.dc.gov/

No comments:

Post a Comment