Monday, February 16, 2009

MWALIMU MBUYA K A C H A N G A N Y I K I W A !

By Mwalimu Mbuya, Mtanzania.

Mimi nimechanganyikiwa:

1. Huko California mama aliyekuwa na watoto sita (wawili au watatu kati yao wana ulemavu/upungufu wa aina moja au ingine), ati kaamua kuongeza wengine nane.

Huyu mama hana kazi anaishi kwa food stamps (welfare) ........yaani wafanyakazi ndiyo wanalipia gharama zake za kuishi.

2. Huko Uingereza "watoto" wa miaka 13 na 15 "wameamua" kuzaa (sawa na kuendesha gari bila leseni).

3. Kuhusu dondoo #1 hapo juu, je huyu mama au daktari wake (fertility doctor) wana akili timamu kweli?

4. Kuhusu dondoo #2, "madereva" wanaoendesha "magari" bila leseni tuwafanyeje? (haya ni matatizo makubwa ya maadili).

5. Jamii (wewe, mimi, vyombo vya habari, viongozi, wazazi) "inachangiaje" katika hivi "vituko"?

VIBOKO is not a far fetch short term solution. For sure.

No comments:

Post a Comment