Tuesday, August 21, 2012

DR. PETER KAFUMU (CCM) AUKOSA UBUNGE IGUNGA TANZANIA !!!

Jimbo la Igunga wazi, Mahakama Kuu  tarehe 21/8/2012 imetengua ushindi wa Dk Kafumukatika jimbo la Uchaguzi la Igunga, Tabora.  Send to a friend
Tuesday, 21 August 2012 13:49

Dk Peter Kafumu

Bw.  Ismail Aden Rage aliyetembeza bastola mfukoni wakati wa Kampeni za Uchaguzi huo Mdogo  kana kwamba tuko kwa  mjomba  SAM  (Uncle SAM -  USA,  where totting guns is part of their culture? and their Right as per their Constitution)  ni mmoja wa waliomponza.  Wengine waliomponza ni  Dr. John Pombe Magufuli aliyeahidi ujengwaji wa Daraja, ahadi isiyotimia! na mengine mengi.

JUSTICE NOT ONLY HAS TO BE DONE; BUT JUSTICE  NEEDS TO BE SEEN TO BE DONE, AND HERE AT IGUNGA; JUSTICE HAS ACTUALLY BEEN SEEN TO BE DONE BY THIS DECISION OF THE HIGH COURT OF TANZANIA. 
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk Peter Kafumu (CCM).Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge

Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.

Kwa habamri zaidi uangana nasi baadaye

No comments:

Post a Comment