Saturday, August 11, 2012

BALOZI DR. COSTA MAHALU ASHINDA KESI

> THURSDAY, AUGUST 09, 2012 > BREAKING NYUZZZZZ: BALOZI COSTA MAHALU ASHINDA KESI YAKE ILIYOKUWA > IKIMKABILI LEO > > > > > > Aliyekua Balozi wa Tanzania nchini Italia,Balozi Costa Mahalu ambaye alikua > mshitakiwa namba moja kwenye kesi ya matumizi mabaya ya fedha za ununuzi wa > jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Italia, pamoja na mshitakiwa namba mbili > Grace Martin (kushoto) wakiwa wamezungukwa na Waandishi wa Habari muda mfupi > baada ya kusomewa kesi yao ambayo wameshinda leo na kuonekana hawana hatia > yeyote kutoka na kukosekana kwa ushahidi uliokamilika. > > Balozi Costa Mahalu akiendelea kutoa shukrani kwa Waandishi wa Habari baada > ya kushinda kwa kesi yake iliyokuwa ikimkabili. > > Balozi Costa Mahalu akiwasiliana na ndugu na jamaa kwa furaha baada ya > kuonekana hana hatia yeyote na kuachiwa huru kuanzia sasa.

No comments:

Post a Comment