Monday, April 27, 2009

WAHAMIAJI WAJUMUIKA KUANDAMANA KUDAI HAKI ZAO

Nchini Marekani kuna Wahamiaji wengi sana. Nazungumzia Wahamiaji wenye elimu ya Kusoma na Kuandika wasio na Ugwiji katika jambo lolote lile.

Kuna wale waitwao Wahamiaji Halali ambao huingia kwa misimu kwa Ruhusa Maalum ya Serikali ya Marekani kuja kuchuma maua na pilipili na mboga zingine mashambani wakati wa kuzivuna. Hii ni nguvukazi ambayo hutokea nchi jirani na Marekani kama vile Mexico. Kisha kuna wahamiaji wengine ambao huingia kama vile wanakuja likizo kwa ndugu zao kisha kuzamia wakitafuta riziki ya kibarua chochote ili waishi. Hawa ndio Wahamiaji Haramu maana hawafahamiki na Serikali na Serikali yenyewe imeacha siku nyingi kushughulika kuwatafuta watu kama hawa. Namna ya kuweza kuwafahamu tu ni pale itokeapo mtu amefanya kosa na katiwa mikononi mwa polisi. Kimbembe ndio kinaanzia hapo. Na sehemu kubwa ya wanaoandamana kudai haki zao siku hiyo ya Wafanyakazi Duniani ya Mei Mosi, 2009 ndio hawa. Tangazo lao hili hapa chini.

May 1st 2009: March for Immigrant Justice (Andamana kwa ajili ya Haki za Wahamiaji)

(aquí para información en español)

Friday, May 1st

3 pm- Malcolm X Park (direction are here)

4 pm- March to the White House

Our Demands:

-Stop the Raids and Deportations

-Just and Humane Immigration Reform

-End the 287(g) Agreements (No Local Enforcement of Unjust Immigration Law)

This is a critical time for all those who support the immigrant community to mobilize. President Obama has restated his commitment to putting forward immigration reform legislation this year. We need to mobilize to make sure that this change becomes reality. Please join us!

This mobilization is sponsored by The National Capital Immigrant Coalition http://www.ncicmetro.org

NCIC includes: All Souls Church, American Friends Service Committee-DC, Archdiocese of Washington, African Resource Center, Barbara Chambers Children's Center, CASA of Maryland, Inc., Carlos Rosario International Public School Charter, Central American Resource Center (CARECEN), Centro Nía, Columbia Heights/Shaw Family Support Collaborative, Comité de Solidaridad Monseñor Romero, Detention Watch Network, Foundry United Methodist Church, Guatemala Human Rights Commission, Korean American Association of Maryland, La Clinica del Pueblo, La Unidad Latina-Gamma Epsilon Chapter, Laborers Union - Local 11, Latin American Youth Center, Latino Economic Development Corporation, Latino Federation of Greater Washington, Legal Aid Justice Center, Mary Center, Mexicanos Sin Fronteras, Migrant and Refugees Cultural Support, National Day Laborer Organizing Network, Public Justice Center, SEIU- Local 32BJ, SEIU MD-DC State Council, Stand for Our Neighbors, Tenants and Workers United, Unite Here Mid-Atlantic, and the United Food and Commercial Workers, Local 400

Endorsed by: CISPES, Amnesty International USA, Busboys and Poets, DC Alliance for Immigrant Justice, DC 51 Artist Collective, DC Jobs with Justice, DC Resistance Media Collective, DC Statehood-Green Party, DC Students for a Democratic Society, Empower DC, FMLN-DC, Global Justice Action, Gray Panthers of Metropolitan Washington, International Socialist Organization, Metro D.C. Interfaith Sanctuary Network, National Immigrant Solidarity Network, Plymouth Congregational United Church of Christ, School of the America's Watch, SHARE Foundation, La Union de Trabajadores, and the Washington Peace Center

To endorse please email dthurston@casamd.org

No comments:

Post a Comment