Tuesday, May 5, 2009

KUVUNJA REKODI HUKU KUNATUKUMBUSHA TUKO SAFARINI TU

Mimi nilidhani tuliovunja rekodi ni nchi moja ya Afrika ambako mfanyabiashara alitajirika sana tokana na biashara hii baada ya janga la UKIMWI kulikumba bara letu. Huyu sidhani kama anastahili heshima hii kwa sababu katengeneza majeneza haya kwa zaidi ya miaka 20. Je yule wa Zimbabwe aliyetajirika alitengeneza majeneza mangapi ndani ya mwaka mmoja?

Austrian man sets grim record: most coffins ever made

A 50-year-old Austrian man has built more than 700,000 coffins over two decades, setting a world record, his employer said Tuesday.

Herbert Webter has built 707,335 coffins for his company, Moser, where he has worked since 1978 in the central town of St-Michael-im-Lungau.

His feat has been certified by Guinness World Records, his company said.

He will receive his certificate at a party in his honour during the International Funeral Home and Cemetery Fair in Salzburg on Saturday, Moser said.

No comments:

Post a Comment