Saturday, July 11, 2015

MATOKEO YA KURA YA KUPATA WAGOMBEA WATATU WA URAIS CCM !!!


 

Matokeo washindi watatu [3] waliyopatikana Dodoma 11/7/2015: 

1. John Pombe Magufuli kapata kura 290
2.   Amina Salum  Ali  kapata kura      284
3.  Asha-rose Migiro  kapata kura        280.

Katika orodha ya wagomea watano wa awali:  4.  January Yusuf Makamba kapata kura  124 5.  Bernard Membe kapata kura                 120

No comments:

Post a Comment