MAADHIMISHO YA MAPINDUZI ZANZIBAR IN 12/1/2013.
USULTANI HAUNA UHALALI WA KUITAWALA ZANZIBAR - NA Balozi Ali Karume.
Naamini wewe unayo degree ya uzamivu katika lugha ya kiswahili.
Tumebishana juu ya uhalali wa usultani wa el busaidi kutoka Oman
kuitawala zanzibar. A lawyer told me that khalifa bin Haroub was not a
citizen of Zanzibar given the fact that he was not born here. He was not
even a naturalized citizen. In fact, he was an undocumented illegal
alien. Having succeeded in removing Ali bin Hamoud out of power, he was
installed as Sultan and skived the issue of citizenship. In essence, he
illegally and illegitimately ascended to the throne by substituting
sovereignty for citizenship. It followed therefore that the citizens or
inhabitants of Zanzibar became his subjects. His offsprings, though born
in Zanzibar, lacked civil status and relied on their royal bloodline to
obviate their alien status. That all worked out well when the sultanate
was maintained. On January 12, 1964, the sultanate was abolished and
that rendered, at least in legal terms, Khalifa's (an undocumented
alien) offsprings stateless for lack of citizenship status. Read that
and weep.
Dunia ya leo ni lazima tufuate katiba, sheria na nia ya kuwa na utawala bora. Usultani wa Oman haukuwa na uhalali wowote kutawala Zanzibar. Professor mzima hata hilo linakushinda kufahamu?
Bado unayo matatizo juu ya uhalali wa Karume kuitawala Zanzibar. Kwa ufupi, alikuwa mpinduzi, na mpinduzi akikupindua, atakutawala tu; lakuomba, akutawale vizuri. Lakini mapinduzi ya Karume yana historia ya kutaka kutwaa madaraka kwa njia ya kura kupitia chama chake ASP. Alishinda chaguzi zote 1957, 1961 mara mbili na July 1963 kwa kura nyingi. Usingekuwepo utawala haramu wa sultani, wazanzibari wangemchagua kwa kura nyingi awe rais wao. Wazanzibari kwa wingi wao na kwa kura zao, walitaka kutawaliwa na Karume na sio na sultani; hilo halina ubishi, halina mjadala wala halina mbadala. Lilobakia kwako ni kulia tu na historia. Sina haja ya kwenda kwa mtu yoyote kunifundisha kiswahili nakijua vizuri kuweza kumfahamisha professor kitu na anapokuwa incorrigibly obstinate nnayo haki ya kumuuliza; "Professor mzima hata hilo linakushinda kufahamu?". Nimesomeshwa na maprofessor zaidi ya 64, na sijawahi kumuona professor mbishi; alofanya ubishi kama ndio dini yake. Wengi wape, usipowapa watachukua wenyewe. Usiku mwema.
Balozi
...........................

No comments:
Post a Comment