Posted here Today 12/3/2014.
TMA [TANZANIA] WAUKATAA USHOGA
Rais
wa Tanzania Medical Association [TMA], Dr Primus F Saidia, ametoa statement ndeefu (published in
Jamhuri - Mdosi, naomba tupeperushie), kupinga ushoga, baadhi ya hoja
muhimu ni hizi hapa:
MOSI: Kuzaliana - kama jinsia zitaoaana zenyewe kwa zenyewe watoto hawatozaliwa, mwisho wake binadamu tutamalizika.
PILI:
Ushoga haulingani na mfumo wa maisha ya kawaida ya Mwafrika, tukiiga
hivihivi mfumo wa Kimagharibi, kuna matokeo ya kisaikolojia na
kisoshiolojia ambaye hayatabiriki.
TATU: ushoga unaleta ukimwi. Ukimwi ulizaliwa Magharibi kutokea kwa mashoga.
NNE:
katika mapenzi ya kawaida wanawake wanapotaka mapenzi, mwili
hujitayarisha kwa kuweka lubrication before and after the event. Kwa
mashoga, wanaume wanaoingiliwa huwa hawana kinga hiyo kwa sababu hawana
lubrication. Hii inatoa mwanaya wa maambukizi yasiyotabirika.
TANO: magonjwa ya zinaa kama kisonono na
kaswende nchi za
Magharibi yalishaisha, sisi yapo.
Kisonono au kaswende kupitia njia za
haja kubwa kwa mwanaume madhara yake yatakuwa makubwa na hayatabiriki.
SITA: magonjwa ya ini. Kuna ugonjwa unaitwa
hepatitis A, B na C. Virusi
B na C huenezwa kwa njia ya damu, na virusi vya A huenezwa kwa njia ya
mdomo na haja kubwa. Hepatitis A palepale inawaingia mashoga. Uchunguzi
USA 1992 unaonyesha kuwa mashoga wana maambukizo 22% ya ini kuliko
kawaida, ikiwemo kusinyaa kwa ini, kansa ya ini, na ini kushindwa kazi
hadi kifo.
SABA: maradhi ya tumbo. Mashoga wanaathirika na ugonjwa uitwao
GAY BOWEL SYNDROME kwa sababu ya khamisha bakteria kutoka sehemu moja
ya utumbo kwenda sehemu nyingine ya utumbo wasikohitajika, huleteleza
typhoid, herpetic ulcers, kanza ya maeneo ya mdomo na za eneo la haja
kubwa.
NANE: je ushoga ni tabia ya kurithi au ya kuiga? Tofauti ya
mwanaume na mwanamke ni
hormones za kijinsia. Kila mtu ana homoni za
kike na za kiume kwa kiasi mbalimbali, kwa wanawake homoni za kike ni
nyingi zaidi na kwa wanaume hivyo hovyo lakini kwa asilimia tofauti
tofauti. Kwa hiyo uwepo tu wa homoni za kike kwa mwanaume au za kiume
kwa mwanamke si ajabu, na si sababu ya kusema uishoga unarithiwa.
"UKWELI NI KUWA USHOGA NI TABIA ZA KUJIFUNZA KAMA TABIA ZINGINE ZOZOTE".
Inaweza kuepukika kwa muhusika kuamua kuachana na msukumo. Ikumbukwe
kwamba hata wanaume na wanawake wasio mashoga hupata hamu ya kujamiaana ,
lakini kwa kujizuia utawakuta wanajamiaana kwa utaratibu, kwa faragha,
na si kusukumwa tu na hamu ya kutaka kujamiiana. Ni bahati mbaya watoto
hujifunza mambo kama haya wakati wa kubalehe na kuvunja ungo. Iwapo
mtoto ataanza kujifunza tabia ya ushoga ni vigumu kumrudisha kwa njia
zingine, sawa tu na yule asiyefanya ushoga kumpeleka kwenye ushoga
baadaye.
TUNAWEZA KUEPUKANA NA TABIA ZA USHOGA KAMA TUKIWZA KUZUIA
WATOTO WETU KUJIFUNZA USHOGA HASA KATIKA VIKUNDI NA SHULE ZA BWENI.
"Kwa kuhitimisha, nasema kwamba kwa upande afya ya kijamii,
nchi zetu changa zina matatizo mengi ya kushughulika nayo. Mfani ni vifo
vy watoto na kina mama,
TB na mapafu, malaria, ukimwi na mengineyo
mengi, bila kusahau magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa kama kisyukari,
presha, kiharusi na mengine lukuki. Wenzetu wa Magharibi
walishayatokomeza ay kuyapunguza sana, ndiyo maana wanapata muda wa
kujadili na kuyaendekeza masuala ya ushoga na pengine kuwakinga mashoga
wao na maradhi. Sisi bado, tuliyonayo yanatutosha, hili la mashoga
tuwaachie wao.
HONGERA NYINGI SANA KWA UTHIBITISHO HUU KUTOKA KWA WATAALAMU WA TIBA NCHINI TANZANIA KUHUSU SUALA HILI LA KUMKUFURU MWENYEZI MUNGU. [Mwenye Blogu]
No comments:
Post a Comment